• Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI - Mkoani Kilimanjaro.

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akiwahutubia wananchi kwenye maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika katika uwanja wa Mandela Moshi, Mkoani Kilimanjaro yenye kauli mbiu ya "Mshikamano wa Kimataifa, Tujumuike Pamoja".

  • Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI - Mkoani Kilimanjaro.

    Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Prof Mabula Mchembe akitoa taarifa za maambukiziya UKIMWI wakati wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani

Welcome to NACP Website

Welcome, all to the Tanzanian National AIDS Control Programme (NACP) official website. The website is a platform for enhancing everyone’s access to information on HIV, AIDS, and STI.s, generated in Tanzania. This website aims on sharing HIV, AIDS and STI information and materials to the general public within and outside the country.